GOOD NEWS! DARASA LA LIVE KUHUSU BITCOIN WALLETS! ๐ฅ
Tarehe 23/10/2026 , saa 8:00 - 9:30pm EAT kamili tutakuwa LIVE kwenye Google Meet na Mwalimu wetu Graysatoshi .
Kama bado hujui Wallet ni nini, au unabakiwa na hofu ya kutuma Bitcoin, basi darasa hili ni kwa ajili yako.
Tutachambua kwa vitendo kabisa:
โ
Nini maana halisi ya Bitcoin Wallet?
โ
Aina za Wallets - Custodial vs Non-Custodial
โ
Jinsi ya KUTUMA na KUPOKEA Bitcoin bila kukosea
โ
Usalama wa maneno yako 12/24 ( private keys )
Na bora zaidi, tutatumia mifano hai kabisa kwa kutumia Bitcoin Wallets hizi:
- Manna Bitcoin Wallet
- Wallet of Satoshi
- Muun Wallet
- Na Hardware Wallet ya kisasa - Blockstream Jade (jinsi ya kuwa Bank yako mwenyewe!) Na zingine zaidi kuweka kuangalia zipi ni salama zaidi ๐
Hakikisha haukosi. Kuja na maswali yako yote, tutayajibu moja kwa moja.
Hifadhi nafasi yako sasa hapa:
Link ya Darasa ๐
Follow + repost + like our post on IG
๐https://www.instagram.com/p/DeFm91sivqY/?stkn=aHFoNmdkYzY3YWc4
Karibu sana, elimu ni bure!


BITCOIN WALLETS โ Invitation via Google Calendar




























